Wanyama wa nyumbani ni wanyama ambao wamefugwa na wanadamu. Wanyama hawa hutegemea wanadamu kwa utunzaji wao, chakula na makazi. Faili hii ina picha za wanyama wa nyumbani kwa mfano: Mbwa, Kondoo, Punda, na kadhalika
Category: Animals
Paper size: A4
Complete File: Has 2 MS word files & 2 Print ready PDF files with a variety of pictures of Wanyama wa nyumbani